MICHEZO YA WATOTO SHULENI KIDDIEJUNCTION DAY CARE ACCADEMY
Kids game for kids makes them happy
Kids games makes them strong
Kids games makes them feel comfortable
Katika kuhakikisha Watoto wetu wanakua na furaha zaidi maeneo ya shule, tumezingatia michezo kwa watoto kwa kuweka michezo mbalimbali ya watoto ambayo wanacheza mara kadhaa katika ratiba yao ya masomo.
Michezo hii, inawafanya wawe na muda mzuri wa kufurahia mapumziko yao wakati wa vipindi na wakati wa kujiandaa na safari za kurudi nyumbani na siku za mitoko ya kitalii.
Ili kutazama video za matukio mbalimbali ya michezo, mafunzo kwa vitendo, na safari mbalimbali za utalii tafadhali tembelea katika mtandao wetu wa Youtube @kiddiejuction day care academy mbeya au tazama kupitia link hii hapa.........