MISINGI YA IMANI SHULENI KWETU KIDDIE JUNCTION DAY CARE & PRIMARY SCHOOL
>Tunaheshimu Imani zote.
>Tunazitunza imani zote.
>Tunafundisha watoto kutunza na kuziishi imanizao.
Tunatambua na kutunza pia kuthamini imani za watoto wetu tukisimamia misingi ya imani zote katika makuzi na malezi ya watoto wetu kila wakati.
Tunawafunza na kuwahimiza watoto kusali na kuswali kabla ya kuanza shughuli yeyote ya kitaaluma, michezo au hata shughuli za nje ya shule na msingi huu umewafanya watoto wetu kuwa na hofu ya Mungu na kuheshimiana baina yao pia watu wa jamii zinazowazunguka.
pia unaweza kutembelea kurasa zetu za mitandao ya kijamii
instagram @kiddiejunction_day_care_academy
youtube @kiddiejunction day care academy mbeya