PROPER, BALANCED DIET WITH QUQLITY and QUANTINTY FOR OUR KIDS
In and Out of The school
Pray to thank God
Quality its our priority
Video hii inaonyesha baadhi ya chakula wanachopewa watoto wa kituo cha kulelea watoto na elimu ya awali cha kiddie junction day care academy cha jijini mbeya walipotembelea kituo cha kushusha na kupakia abiria cha reri ya TAZARA Iyunga mbeya katika ziara ya kujifunza na kufurahia mazingira ya usafiri wa Treni.